Ni ajabu, wala si jambo la kawaida kwa wanawake walio wengi kujikuta katika matamanio, kiasi cha kujikuta wakilazimika kushiriki tendo la ndoa.
Hata hivyo, homoni kadhaa zilizoko katika miili ya wengine zinawachochea kujitumbukiza kwenye tendo hilo.
Utafiti wa baadhi ya wanasayansi umeonyesha kuwa baadhi yao wana kiwango kikubwa cha vichocheo mwili kinachoweza kushawishika kuwa na mpenzi wa nje au kumchoka haraka mwenza wake baada ya kuishi naye kwa kipindi fulani.
Wanasayansi hao wamefanya uchunguzi na kugundua kuwa, wanawake wenye kiwango kikubwa cha vichocheo (homoni) aina ya oestradiol, wana mwamko mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa kuliko wanawake wenzao wenye kiwango kidogo cha vichocheo hivyo.
Vichocheo hivi aina ya oestradiol (oestrogen) ni vile vinavyotumika katika kuzalisha mayai ya uzazi wa mwanamke. Pia, vichocheo hivyo ni vile ambavyo humpa mwanamke mwamko wa tendo la ndoa.
Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Saikolojia nchini Uingereza walifanya utafiti kuhusu uhusiano uliopo kati ya vichocheo na tabia za watu na kubaini kuwa kiwango cha vichocheo huweza kuelezea tabia ya mwanamke ikiwamo kumsababisha kuwa na tamaa za mwili zaidi tofauti na wanawake wengine.
Wanasayansi hao, Dk Kristina Durante na Norm Li walitoa ushahidi wa utafiti wao kuwa mfumo wa kisaikolojia unachangia kwa kiasi kikubwa katika mwamko wa tendo la ndoa na tabia kwa wanawake.
Wanawake 52 wenye umri wa kati ya miaka 17 na 30, wote wanafunzi wa vyuo vikuu walishiriki katika utafiti huo na kuambiwa wasitumie njia yeyote ya uzazi wa mpango kwa sababu njia hizo huongeza vichocheo mwilini.
Kwa upande wao, watafiti walipima kiwango cha homoni hizo kwa wanawake wote na walipewa maswali ya kujibu yaliyohusu mienendo yao ya kimapenzi, kutosheka na wenzao pamoja na uwezo wa kuvumilia kutofanya tendo la ndoa kwa kipindi fulani.
Pia, washiriki hao walitakiwa kujibu maswali maalumu ambayo yanapima uwezekano wa washiriki hao kuwasaliti wenzao wao.
Mwishowe, watafiti hao walibaini kuwa, wanawake wenye kiwango kikubwa cha vichocheo vya oestradiol wanapenda utani, wanapenda kupigana busu na ni rahisi kupata mwenza mpya wa kudumu wakati wowote.
“Matokeo yetu yalibaini kuwa, wanawake wenye kiwango kikubwa cha rutuba za uzazi hawatosheki na mwenza mmoja hasa waliyeishi naye kwa muda mrefu. Wana uwezo wa kutafuta mwenza mwingine anayewatosheleza,” alieleza Dk Durante.







Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia barua pepe yake: drizayaomosolution@gmail.com. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
ReplyDelete(1) Unataka kurudi nyuma yako.
(2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
(3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
(4) Unataka mtoto.
(5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
(6) Unataka mume wako awe wako milele
(7) Unahitaji msaada wa kiroho.
(8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
(9) Weka talaka
(10) Kualika kwa mila ya fedha
(11) Chagua uchaguzi
Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia barua pepe yake: drizayaomosolution@gmail.com. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
ReplyDelete(1) Unataka kurudi nyuma yako.
(2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
(3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
(4) Unataka mtoto.
(5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
(6) Unataka mume wako awe wako milele
(7) Unahitaji msaada wa kiroho.
(8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
(9) Weka talaka
(10) Kualika kwa mila ya fedha
(11) Chagua uchaguzi
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
ReplyDeleteMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com